Wanafunzi wa sekondari wapinga mfumo wa elimu Ufaransa

Your browser doesn’t support HTML5

Wakati serikali ya Ufaransa inatafuta mbinu za kumaliza maandamano yanayochochewa na kuongezwa kwa bei ya mafuta ya diseli katika jitihada za kukabiliana na uchafuzi wa mazingira, wanafunzi katika shule za sekondari nao wanaandamana kupinga mageuzi katika sekta ya elimu.