Harrison Kamau akifanya mahojiano na mwanamitindo Neema Olory

Your browser doesn’t support HTML5

Kwenye maswala ya burudani tunae mmoja wa warembo watakaoshiriki kwenye mashindano ya urembo yaliofadhiliwa na Umoja wa Afrika hapa mjni Washington DC mwishoni ma wiki, Neema Olary mwenye asili ya Tanzania.