Mazungumzo kati ya serikali na waasi yameanza nchini Sweden

Your browser doesn’t support HTML5

Mazungumzo kati ya serikali na waasi ambao wamekuwa katika mapigano mabaya kwa takriban miaka minne nchini Yemen, yameanza leo alhamishi nchini Sweden.