Rais George H.W. Bush aagwa rasmi

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa 41 wa Marekani George H.W Bush aagwa rasmi katika maziko ya kitaifa yaliyofanyika katika mji mkuu wa marekani na kuhudhuriwa na marais wa awamu mbalimbali wa nchi hiyo pamoja na wageni wa kimataifa na viongozi na wabunge wa chama tawala na wa upinzani.