Umoja wa mataifa wasema Yemen ina hatari ya kukumbwa na balaa kubwa la njaa

Your browser doesn’t support HTML5

Baada ya vita vya miaka minne nchini Yemen , hali kibinadamu imezidi kuwa mbaya na kuweka nchi hiyo katika hatari kubwa ya balaa la njaa.