Wanaharakati mbalimbali wapewa tuzo nchini Kenya

Your browser doesn’t support HTML5

Wanaharakati wa ambao walikuwa wameathiriwa na dhuluma ya kijinsia kutoka katika jamii mbalimbali nchini Kenya wametunzwa kwa kuwa mstari wa mbele katika kuhamasisha jamii dhidi ya madhara na hatari ya dhuluma hizo.