Vijana wa Mombasa wapewa nafasi ya kukuza vipaji
Your browser doesn’t support HTML5
Vijana wenye vipaji mbalimbali vya sanaa wamepata nafasi ya kukuza vipaji vyao kupitia kituo cha Swahili pot , kituo maalumu ambacho kina dhamira ya kukuza vipaji vya vijana.