Duniani Leo December 5, 2018

Your browser doesn’t support HTML5

Mazishi ya kitaifa ya aliyekuwa rais wa 41 wa Marekani George H.W. Bush yafanyika katika jiji kuu la Marekani Washington D.C kabla ya mwili wake kusafirishwa kwa maziko yatakayofanika kesho katika jimbo la Texas. Inaelezwa kuwa wanawake ndio wamekuwa waathirika wakuu wa ungojwa wa Ebola.