Rais Trump haoni tatizo kuhusu mikataba ya biashara aliyosaini.

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa sera yake ya Marekani kwanza, itaangalia manufaaya wamarekani na biashara zake wakati wakifanya maamuzi ya mikataba na mataifa mengine.