Duniani Leo December 4th, 2018

Your browser doesn’t support HTML5

Maelfu ya waombolezaji wajitokeza katika ukumbi wa bunge la marekani kutoa heshima kwa aliyekuwa rais wa 41 wa Marekani George H.W. Bush . Bush alifariki jumapili iliyopita akiwa amezungukwa na familia yake. Kampeni za uchaguzi zapamba moto nchini Congo.