Ubaguzi na unyanyapaa dhidi ya watu wenye ulemavu wa Ngozi kupungua

Your browser doesn’t support HTML5

Ubaguzi na unyanyapaa dhidi ya watu wenye ulemavu wa Ngozi yaani Albino unaonekana kupungua kutokana na kampeni zinazofanywa na watu wenye ulemavu wa ngozi .