Trump ametoa salamu za awali za krismas

Your browser doesn’t support HTML5

Rais Donald trump wa marekani ametoa salamu za awali za krismas kwa wamarekani wakati wa tukio la 96 la kila mwaka kuwasha mti wa krismas mjini Washington jumatano.