Athari za mabadiliko ya hali ya hewa duniani

Your browser doesn’t support HTML5

Idara mbali mbali za marekani zimetoa ripoti inayoonya kwamba athari za mabadiliko ya hali ya hewa, ikiwa ni pamoja na mafuriko, vimbunga, ukame na moto wa msituni zitaendelea kuwa mbaya kote duniani.