Baraza la seneti limepiga kura kusimamisha msaada wa kijeshi Saudi Arabia

Your browser doesn’t support HTML5

Baraza la seneti la marekani limepiga kura kuendelea na azimio la kusimamisha msaada wa kijeshi katika vita vinavyoongozwa na Saudi arabia huko Yemen.