Kampeni za uchaguzi zapamba moto Congo

Your browser doesn’t support HTML5

Wanasiasa vya vyama mbalimbali wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wameaza kampeni za uchaguzi ambao unatarajiwa kufanyika mapema mwezi ujao nchini humo.