Mawaziri wamuunga mkono Theresa May

Your browser doesn’t support HTML5

Mawaziri wenye ushawishi katika serikali ya Uingereza wanaunga mkono makubaliano ya waziri mkuu Theresa May, na umoja wa ulaya wakati wakijitayarisha kwa mkutano wa dharula wa baraza la mawaziri la nchi hiyo.