Msafara wa wahamiaji wafika katika mpaka wa kusini wa Marekani.

Your browser doesn’t support HTML5

Msafara wa wahamiaji kutoka Marekani ya kati umewasili katika mpaka wa kusini mwa Marekani na kaskazini mwa Mexico . Wahamiaji hao walitumia nguvu kutoka kuingia ndani ya ardhi ya Marekani.