Shughuli ya kuwaopoa maiti yaendelea Uganda, ziwa Victoria

Your browser doesn’t support HTML5

Wanajeshi, maafisa wa polisi na wapiga mbizi wanaendela kutafuta maiti katika ziwa Victoria nchini Uganda baada ya ajali ya boti iliyotokea jumamosi.