Wabunge waliondolewa baada kukataa kusimama Mnangangwa akingia bungeni

Your browser doesn’t support HTML5

Tukielekea huko Zimbabwe, Alhamisi polisi na maafisa wa usalama wa bunge waliwaondoa bungeni wabunge wa upinzani baada ya kukataa kusimama wakati rais Emerson Mnangangwa alipokuwa anaingia bungeni.