Washona wa Kenya waomba kutambuliwa kama wazawa

Your browser doesn’t support HTML5

Kwa zaidi ya miongo sita sasa watu 4,000 wa jamii ya Shona kutoka mataifa ya Zambia na Zimbabwe wamekuwa wakiishi nchini Kenya bila vibali na vitambulisho baada ya wazazi wao kusafiri hadi kenya kabla ya kenya kupata uhuru wake ilikuhubiri injili.