Wanawake wavutia kazi ziilizotajwa kama za Wanaume

Your browser doesn’t support HTML5

Wanawake wanaonekana kuvutiwa zaidi na kazi ziilizotajwa kama za Wanaume miaka ya nyuma, moja ikiwa ni Uhandisi na ufundi wa kufanya kazi na Mashine nzito viwandani.