Washington Bureau

Your browser doesn’t support HTML5

Wiki hii ndani ya Washington Bureau: Wamarekani wana shereka sikuku ya Thanksgiving, wakati huo huo wafanyabiashara wakaamuwa ijumaa inayofuata kuwavutia watu kuingia madukani kuanza kununua zawadi hizo za Kristmasi ikijulikana kama Black Friday.