Wasichana wakitanzania kujikuta wakitumikishwa katika biashara ya ngono India

Your browser doesn’t support HTML5

Matukio ya wasichana wakitanzania kulaghaiwa na ajira za nje ya nchi hasa nchini India na baadae kujikuta wakitumikishwa katika biashara ya Ngono bado yameendelea kuripotiwa huku wanaofanya ulaghai huo wakiendelea na harakati zao.