Wavuvi wa Tanzania waomba msaada kwa serikali.

Your browser doesn’t support HTML5

Wakiadhimisha siku ya Uvuvi duniani, wavuvi wa nchini Tanzania wameitaka serikali kuwasililiza wavuvi hao pamoja na kuwawezesha ili wafanya kazi zao kwa miundo mbinu ya kisasa.