Ivanka Trump ashutumiwa kutumia akaunti ya binafsi ya barua pepe

Your browser doesn’t support HTML5

Mtoto wa rais Donald Trump ameshutumiwa kuwa kutumia akaunti binafsi ya barua pepe kwa mawasaliano ya kikazi, akiwa ni kinyume cha sheria kwa wafanyakazi wa ikulu.