Zulia Jekundu Episode 200

Your browser doesn’t support HTML5

Leo katika Zulia Jekundu tuna makala maalumu ya kufikisha vipindi 200 . Timu ya taifa ya mpira wa miguu ya walemavu ya Angola yatwaa kombe la dunia nchini Mexico.