Viongozi wameanza kuwasili Papa New Guinwa kwa mkutano wa APEC

Your browser doesn’t support HTML5

Viongozi wa Jumuia ya kiuchumi ya mataifa ya Asia na Pacific APEC wameanza kuwasili katika mji wa Port Moresby ,kisiwani Papua New Guinea kwa mkutano wa siku mbili ambao rais wa Marekani Donald Trump hatahudhuria kutokana hasa na mvutano wake wa kibiashara na China.