Eritrea uondolewa vikwazo baada makubaliano na Ethiopia

Your browser doesn’t support HTML5

Baraza la usalama la umoja wa mataifa limeiondolea Eritrea vikwazo kufuatia makubaliano ya amani na Ethiopia, na kulegezwa kwa upinzani dhidi ya Djibouti jambo linaloleta matumaini mema katika pembe ya Afrika.