Theresa May asisitizia mjadiliano ya Brexit

Your browser doesn’t support HTML5

Waziri mkuu wa Uingereza Bi.Theresa May amelihutubia bunge hii leo kueleza mswada wa makubaliano ya nchi yake kujiondowa kutoka umoja wa ulaya unaofahamika kama Brexit, akisisitiza kwamba unauhuru wa uingereza.