Video Gabon yakiri rais Bongo ni mgojwa. 13 Novemba, 2018 Your browser doesn’t support HTML5 Serikali ya Gabon imekiri kuwa rais Ali Bongo ni mgonjwa na yuko nchini Saudia Arabia kwa matibabu.