Viongozi wa Ethopia, Somalia na Eritrea wanakutana hii leo 9, November 2018

Your browser doesn’t support HTML5

Viongozi wa Ethopia, Somalia na Eritrea wanakutana hii leo katika mji wa Gonder Ethopia kwa mkutano wa pili kati yao wakiwa na lengo la kuimarisha ushirikiano wan chi nhizo tatu za pembe mwa afrika.