Magari ya usafiri wa umma Kenya yametakiwa kuafikia sheria iliyowekwa

Your browser doesn’t support HTML5

Kufikia jumatatu wiki ijayo magari ya usafiri wa umma nchini Kenya yametakiwa kuafikia sheria iliyowekwa. Ni kufuatia makataa hayo ndipo wamiliki wa magari wamejizatiti ilikuzuia magari yao kukamatwa na mamlaka ya usafiri na usalama barabarani nchini Kenya,(NTSA).