Baada ya Mabunge ya marekani kugawanywa kwa vyama nini kitafatia.

Your browser doesn’t support HTML5

Wachambuzi na wanasiasa wakitathmini matokeo ya uchaguzi wa kati kati ya mhula. Uchaguzi huu umegawanya madaraka kati ya chama tawala na chama kikuu cha upinzani hii inamaanisha baada ya maradaka kugawanywa.