Idara ya uhamiaji ya Tanzania imekiri kukamata wanaharakati wa uteteze wa habari.

Your browser doesn’t support HTML5

Idara ya Uhamiaji imekiri kukamata na kuwaachia wanaharakati wa habari wawili kwa kusema wamekiuka matumizi ya vibali vya kuingia nchini Tanzania.