Madagascar wapiga kura katika uchaguzi wenye ushindani mkubwa.

Your browser doesn’t support HTML5

Marais wa zamani wa Madagascar Andy Rajaoelina na Marc Ravalomanana wachuana vikali katika uchaguzi , wakiwa wanafatana katika matokeo ya awali.