Mtu mwenye bunduki auwa 12 kwenye bar Marekani.

Your browser doesn’t support HTML5

Wanafunzi 11 na polisi wauwa na mtu asiojulikana baada ya kuwashambulia na risasi usiku wa kuamkia jana, kisa cha shambulio hilo bado halijajulikana.