UNICEF yasema utapiamlo ni chanzo cha vifo vya watoto Yemen

Your browser doesn’t support HTML5

Umoja wa mataifa umesema vita vya zaidi ya miaka mitatu nchini Yemen, imesababisha vifo vya watoto kutokana na utapiamlo.