Wahamiaji wa Kiafrika zaidi ya 17 wafa maji karibu na Uhispania.
Your browser doesn’t support HTML5
Wahamiaji wakiafrika wapatao 17 wafa maji , huku walinzi wa pwani ya Uhispania kuokoa zaidi ya 100, na mashua mbili zimepatikana katika bahari ya Mediterranean.