Tanzania yaadhimia kupiga marufuku matumizi ya mifuko ya plastiki.

Your browser doesn’t support HTML5

Serikali ya Tanzania imesema ina dhamira ya kupiga marufuku uzalishaji na matumizi ya mifuko ya plastiki bado ipo inachukua jitihada katika utekelezaji wake.