Kenya watakiwa kufata sheria za barabarani.

Your browser doesn’t support HTML5

Wahudumu wa sekta ya uchukuzi nchini Kenya wametakiwa kufuata sheria za barabarani, na kuhakikisha magari yao yana vidhibiti mwendo.