Ihan Omar anatarajiwa kushinda kiti cha ubunge Minnesota
Your browser doesn’t support HTML5
Jimbo la Minnesota ni miongoni mwa majimbo yanayotarajiwa kuchukuliwa na chama pinzani cha demoktrat , na Ihan Omar mwanamke mwenye asili ya somalia huenda akawa mbunge wa kwanza mkimbizi mwenye asili ya afrika.