Israel yasitisha sera ya kurudisha waafrika makwao kwa nguvu.

Your browser doesn’t support HTML5

Israel imesitisha sera yake ya kuwarejesha makao kwa nguvu watu kutoka barani Afrika, wanaotafuta hifadhi nchini humo.