Kampeni za uchaguzi zapamba moto Marekani.

Your browser doesn’t support HTML5

Raisi wa 44 wa Marekani Barack Obama anafanya kampenzi za kuhamasisha wanachama wa chama chake pamoja na watu wasio na msimamo wa vyama ili kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika uchaguzi mdogo utakaofanyika Novemba 6. Kwa upande wa Republican kampeni zao zinaongozwa na rais Donald Trump.