Trump asema atasaini amri ya kiutendaji wiki ijayo

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Marekani Donald Trump amesema kwamba utawala wake uko katika hatua za mwisho mwisho za mipango ya kuwataka wahamiaji wanaotafuta hifadhi hapa Marekani, kufanya hivyo kwa kupitia kituo maalum.