Madagascar yajitayarisha kufanya uchaguzi

Your browser doesn’t support HTML5

Baada ya miezi kadhaa ya maandamano ghasia na mivutano ya kisiasa na juhudi za upatanishi wapiga kura wa Madagascar wanajitayarisha kushiriki katika duru ya kwanza ya uchaguzi wa rais jumatano ijayo.