Trump na Xi wakubuliana kuimarisha ushirikiano kibiashara

Your browser doesn’t support HTML5

Wizara ya Mambo ya Nje ya China imesema Ijumaa kwamba mazungumzo ya simu baina ya marasi wawili wa China Xi Jimping na Donald Trump wa Marekani yalikuwa mazuri. Msemaji wa wizara hiyo Lu Kang anasema Viongozi hao wawili wanadhani kuna haja ya kuimarisha zaidi ushirikiano wao wa kibiashara.