Wasiwasi umeongezeka nchini DRC kuhusiana na mashine za elektroniki kufanikisha uchaguzi

Your browser doesn’t support HTML5

Wakati jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo inakaribia kuandaa uchaguzi mkuu, wasiwasi umeongezeka kuhusiana na uwezo wa mashine za elektroniki zilizoundwa na kampuni ya Miryu ya Korea kusini, kufanikisha uchaguzi ulio huru na haki.