Wabunge wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wamepitisha mswada wa takwimu hatua

Your browser doesn’t support HTML5

Wabunge wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wamepitisha mswada wa takwimu hatua ambayo inaaelezwa kuwa ni sehemu ya mchakato wa nchi za jumuiya hiyo wa kufikia lengo kuwa na sarafu moja