Duniani Leo November 1st, 2018

Your browser doesn’t support HTML5

Matumizi ya teknolojia ya komputa katika uchaguzi mkuu wa ujao wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wawatia wasiwasi wapiga kura. Marekani yataka mazungumzo ya kumalizwa kwa vita nchini Yemen kuanza mwezi ujao.