Rais mteule wa Brazil kuruhusu umiliki wa bunduki kwa raia.

Your browser doesn’t support HTML5

Rais Mteule wa Brazil Jair Bolsonaro atoa matamshi makali kwa vyombo vya habari na kusisitiza kauli yake ya kutaka raia wa nchi hiyo kuwa na haki ya kumiliki bunduki.